Saturday, January 10, 2015

MBUNGE JOSEPH MBILINYI SUGU! APATA AJALI MLIMA KITONGA

Mh.Sungu Mbunge wa Mbeya Mjini  amenusurika ajali leo akiwa katika harakati za kudelete magamba maeneo ya mlima kitonga.
Tuchukue frusa hii kumtakia pole kamanda wetu mungu amwepushe na mabalaa haya,Ni ulozi tu wa migamba Pole saaana Mh Sugu, tunamshukuru Mungu kukuepusha kwa ajali hio mbaya.
Habari zinadai kuwa ajali hiyo imesababishwa na Break za Gari Kushindwa kufanya kazi wakati wanateremka katika mlima huo mkali ikabibidi waigongeshe ukutani maana bila hivyo wangetumbukia korongoni.
Wote waliokuwa katika gari hilo wapo Salama Kabisa.

No comments:

Post a Comment