ELIMU

KAULI NANE AMBAZO MWANAMKE AKIZITOA JIHADHARI SANA.

1. Mwanamke anaposema, 'sasa hivi' au 'dakika moja tu,' maana yake ni kwamba, ni nusu saa ijayo. kwa mwanamke sasa hivi ya kujiandaa ina maana sasa hivi ya muda mrefu mara sita zaidi kuliko ule
anaoutaja. kama akisema , 'nusu saa tu, naja,' unapaswa kwenda kufanya shughuli nyingine kwanza, kwa sababu huenda ukiamua kuamini kwamba ni nusu saa kweli, utasimama au kukaa mahali kumsubiri hadi miguu iingie tumboni au makalio yaote ganzi.
2. Mwanamke anaposema, 'utajua mwenyewe,' ana maana kwamba amekasirishwa na kukatishwa tamaa na tabia yako na sasa hajali tena. maana yake ni kwamba kwa upande wake haoni sababu ya kujiumiza bure na huenda atachukua uamuzi ambao nawe pia hautaufurahia. Je, anaweza kuanza kutoka nje baada ya hapo? inawezekana ingawa siyo lazima.

3. Mwanamke anapopumua kwa nguvu, yaani kushusha pumzi kwa kishindo, hiyo pia ni kauli kwa upande wake. kama anashusha pumzi kwa nguvu wakati mkijadili au kuongea jambo, ni taarifa kwamba amekudharau. yaani amekuona mjinga nambari moja. ni kauli kwamba, haoni sababu ya kuendelea kuwepo hapo kubishana nawe, kwani huna jambo la maana unalomweleza.


4. Mwanamke anaposhusha pumzi polepole, ina maana kwamba, amekubaliana na wewe. Sasa hapo usifanye kosa kwani, ukibadilika kidogo au kuleta mambo mengine kinyume na na hayo yaliyomridhisha, ndipo hapo atashusha pumzi kwa nguvu , yaani kuanza kukuona huna maana kwa wakati huo. Kumbuka kwamba, mwanamke akishusha pumzi kwa nguvu kwa maana ya kukuona huna lolote, hukuona hivyo kwa wakati ule tu au kwa hilo jambo linalohusika tu, siyo kwamba, hukuona hivyo siku au muda wote. vivyo hivyo kwenye kushusha pumzi pole pole, hukuona 'babu kubwa' kuhusiana na na jambo mnalojadili kwa wakati huo tu.

5. Mwanamke anapotumia neno, 'sawasawa,' kwa kawaida kama kuna jambo umemfanyia, ina maana kwamba, 'ninachukua muda kutafakari, halafu utaona nitakachokulipa baadaye.' Kauli hii siyo nzuri na mara nyingi ni ya hatari. Wanaume ambao wamewahi kulipiziwa visasi kwa njia mbaya na ya hatari na wapenzi wao wamekiri kuambiwa,'sawasawa,' au 'sawa bwana,' kabla ya visasi hivyo.

6. Mwanamke anapotamka neno, 'we endelea tu,' anakuwa na maana ya kwamba, siku si nyingi zijazo, atafanya jambo ambalo hutalifurahia, kama hutaacha kufanya kitu au jambo lenye kumuudhi. hiyo ni kauli ya kukutahadharisha kwamba, usije ukashangaa pale ambapo utaona amefanya kitendo cha hatari dhidi yako kutokana na tabia yako au matendo yako mabaya dhidi yake.


7. Kuna wakati mwanamke anaweza kusema, 'sawa bwana fanya,' kama kuna jambo ambalo hamjafikia muafaka au amebaini umekuwa ukifanya jambo fulani baya au lenye kumkera. Hapa hana maana kwamba, amekuruhusu kwa moyo mmoja, hapana. Hapa anataka ubaini kwamba, hajakubaliana nawe, anakupa muda wa kujaribu kutafakari tena.


8. Je kama mmeshindana katika jambo au umemkera katika jambo au mambo fulani, kutokana na tabia au mwenendo fulani, halafu akakumabia, 'asante sana,' itakuwa na maana gani? Hii ina maana umemkera kupita kiasi na bado wala hajajua akufanye nini. Hii ni toafauti na 'asante' ya kawaida. Mwanamke anapoongeza neno 'sana,'ujue umemkera hasa, kuliko unavyoweza kufikiri. Halafu kama baada ya kusema, 'asante sana,' anashusha pumzi kwa nguvu, ujue hali ni mbaya zaidi, bora unyamaze kwanza, hata radhi usiombe kwa muda huo, subiri apoe kwanza.

 


Wanaume yatupasa tujue kwamba hatupo peke yetu kitandani (I mean unapofanya mapenzi unakua na mwanamke wako) na kwamba kumridhisha mwanamke ni muhimu katika kudumisha uhusiano wa kimapenzi ili wote muweze kufurahia jambo hilo na mapenzi hayo! Kuna baadhi ya mambo kama haya mambo matano yakitekelezwa kwa ufasaha basi nahisi yatafanya mwanamke wako achanganyikiwe zaidi kila saa na ajisikie furaha pindi umwambiapo suala la kwenda kitandani.....!

1: UWE WA MWISHO KUMALIZA...
Kawaida wanawake huchelewa sana kutosheka kimapenzi zaidi ya wanaume, ni wastani wa dakika 8 zaidi wakati kikawaida wanaume wengi humaliza mapema hata kabla dakika 8 hazijafika!yaani kuna wale wenzangu na mimi waliokua adicted ma punyeto basi hata dk 3 anaweza asimalize akawa tayari amesha pees...

2: MAANDALIZI.....
Mapenzi yanahitaji maandalizi kabla ya tendo ili kuamsha hisia zao na kulainisha sehemu zake vizuri tayari kwa kuburudika! Endapo hautoweza kumuandaa vizuri mwanamke wako basi tendo zima hugeuka kuwa la maumivu, kutakuwa hakuna burudani yoyote pale zaidi ya misuguano ambayo itawaletea maumivu. Maandalizi mazuri pia ni njia nzuri ya kumsogeza mwanamke karibu na kilele.

3:CLITORIS (Kisimi)

ni sehemu kubwa sana ambayo misisimko huanzia.kama Ukidharau hicho kidude basi kwa hakika inatosha kabisa kumfanya mwanamke asiridhike!, pia kama unamuamini vizuri mpenzi wako basi tumia hata ulimi kuchezea hiyo sehemu, ila kama hamuaminiani basi kidole tu kinatosha kumfanya awe tayari kukaribia kilele, na kuna wengine ukiwanyonya vizuri hiyo shemu basi safari yao humalizia hapo hapo anakua amepees....

4:MAONGEZI YA MAHABA....
mwanamke anapenda sana haya maongezi!
Anapatwa na hamu sana anaposkia kuwa unatamani sana kumridhisha! Mwambie utamfanyia nini na utamfanyaje na kwamba lengo lako ni kumpa utamu usio elezeka...

5:MUULIZE KITU GANI UMFANYIE MUWAPO KITANDANI....
Kila mwanamke anautofauti wake inapokuja kwenye suala zima la ngono. Njia pekee ya uhakika ya kujua nini mwanamke wako anapenda kutoka kwako ni kumuuliza.... Udadisi wako unaweza pia kumfanya akutamani zaidi, jiamini uwapo mbele ya mpenzi wako, usiogope kuzungumza naye,kumweleza jinsi ufuraiavyo penzi lake,
 

CHA KUONGEZEA NI HIVI....
Hauhitaji kuwa mtanashati ili kumridhisha mwanamke kimapenzi,unaweza kuwa mtanashati lakini kitandani zero, mapenzi ni udadisi na utundu zaidi

 

HII NDIO NJIA PEKEE YA KUWEZA KUBALANCE MATUMIZI YAKO YA KILA SIKU NA KUWEZA KUPATA MAFANIKIO.

The key is not to prioritise what is on your schedule, but to schedule your priorities – Stephen R. Covey, American author of ‘The Seven Habits of Highly Effective People’

Indeed, very few people in the world are independently wealthy and have enough money to achieve all their financial goals simultaneously. Most individuals play a juggling game with money as they work toward several different financial goals. All financial goals are important, but some goals are farther down the list of financial priorities.

Whether you know it or not, you could be meeting your financial priorities often. For instance, you may have decided that settling this month’s electricity bill is more important than buying a new piece of furniture. But sometimes it seems like, try as you might, you never have enough money at the end of the month.

Setting priorities is fairly simple – you just need to decide what issues you need to take care of and then put the most important ones on top of the list. The five most basic priorities that you must deal with are obtaining your necessities, meeting other financial obligations, repaying your debts, building an emergency fund and saving for your goals.

1. Necessities
First of all, there are basic principles that pertain to everyone and which are a matter of survival. These are food, water and shelter. Therefore, to begin with, you need to do what it takes to ensure that your basic needs are met. This means that you have to:

Pay the rent or mortgage
Settle the utility bills
Buy your groceries
You should not spend another shilling before making these payments. If you put them off, you will start experiencing money problems much sooner than you would if you had delayed paying off other expenses instead.

2. Other obligations
Next, you need to consider other day-to-day expenses, such as transportation, which you incur as you seek to maintain your source of income. In the same breath, school fees, medical expenses and other such financial responsibilities you have must be taken into account.

These should be considered as important as your necessities, since failing to provide for them may result in you having to obtain a loan to make it to the end of the month. However, you should consider ways of cutting down these outflows so that you do not just get by after settling these payments.

3. Debt repayments
Making the minimum repayments on your loans should be high on your list of priorities, to avoid the fees and penalties that could otherwise occur. However, this may not be enough to get you out of debt, since high interest rates could still make your balance much higher.

Ideally, you should use any extra income to pay down your high interest debts aggressively. After eliminating your debts, you will now have some extra money to put towards other financial goals.

4. Emergency Fund
No matter how hard you try to plan, the unexpected always happens, which is why you need to be prepared by having an emergency fund. Not only will it help you in dealing with unanticipated expenses, but it will also prevent you from getting into debt in the future.

Hence after settling your expenses, you should strive to save enough money to sustain you for six months. This will assure you peace of mind knowing that you have something to get by with should you find yourself short of cash.

5. Savings
If you manage to make it until this point, then your finances must be in good shape. Having savings so far down on your list of priorities does not necessarily mean that putting away money towards such important financial goals as your retirement should come last.

In fact, due to the tax exemptions available on retirement contributions made directly from your pay check, it would be more advantageous to have your employer make these payments to your retirement benefits scheme. Automating your other savings would also save you time and effort.

As for everything else, remember that it costs money, and with so many things to spend it on, you must balance your finances. The key lines in determining what your financial priorities are and sticking to them. And of course, you must be willing to rethink them when the need arises.

THAMANI YA NDOA KATIKA MAISHA YETU.


NDOA ni kitu chenye thamani kubwa sana katika maisha ya binadamu. Jambo na la msingi zaidi kwa wahusika ambao wanahitaji kuunganika katika ndoa ni upendo.
Lazima wote wawe wana hisia za kweli kutoka ndani ya mioyo yao.

Ndoa si jambo la kukurupuka wala kuamua kuingia kwa maana ya kufanya majaribio. Siyo sahihi hata kidogo.
Wiki iliyopita nilianza kwa kueleza mambo ya msingi ya kuzingatia wakati ukimtaka mwenzi wa maisha yako. Leo tunaingia katika hatua nyingine. Twende tukaone.
MAPENZI HALISI
Sifa nyingine muhimu ya kumwangalia mwenzi anayefaa kuwa naye kwenye ndoa ni pamoja na yule mwenye mapenzi ya kweli hasa. Mapenzi ya kweli huonekana haraka sana. Penzi la dhati halijifichi.
Hujitokeza hadharani, wakati mwingine bila hiyari.
Mwenye sifa hii ni msikivu (kwa wanaume na wanawake), muelewa na anayetoa kipaumbele kwa mwenzake. Kama anakupenda kwa dhati ni lazima akupe kipaumbele katika mambo yake.
Si msiri na hutoa nafasi kwa mwenzake kutoa mawazo yake katika mambo yanayomhusu. Hatua hii hutokana na namna anavyomuona mwenzake kama sehemu ya maisha yake.
HUYU HAFAI!
Unaweza kuwa na mpenzi na mkapanga mipango mbalimbali ya baadaye ikiwemo ndoa lakini akawa na kasoro kubwa zilizojificha. Wakati mwingine kasoro hizo unaweza kuziona lakini usijue kama ni kubwa zinazoweza kuwa tatizo kubwa katika maisha yenu ya ndoa.

Mara nyingi kasoro za mwingine zinaweza kufichwa na mapenzi ya dhati yaliyopo ndani ya mtendwa. Mathalani wewe una mpenzi wako, kwa vile ndani yako kuna mapenzi ya dhati, mwenzako anaweza kuwa anakosea tena makosa makubwa, lakini ukajikuta unavumilia, kudharau au kupuuzia!
Zipo dalili nyingi za mpenzi asiyefaa, lakini hapa nakuletea zile za muhimu zaidi.
USALITI
Katika makosa makubwa kabisa kwenye uhusiano ni pamoja na kusaliti. Kama mwenzi wako anakusaliti na una ushahidi wa kutosha (hasa kama umemfumania) ni dalili mbaya kwenye ndoa.
Mtu wa aina hiyo hafai kabisa kumfikiria kuungana naye katika ndoa.
KIBURI
Pia ni dalili mbaya. Mtu mwenye dharau na kiburi hawezi kuwa sahihi, maana huko ndani ya nyumba kutakuwa ni majibizano yasiyo na maana.
Aliye sahihi anapaswa kuwa msikivu, mwenye kupima kila kinachotoka kwenye ulimi wake. Kama katika kipindi cha awali tu, anakuwa mkorofi, vipi kwenye ndoa? Fikiri hili kwa makini.
KIPIGO
Wengi wanaweza wasione kama hili lina maana, lakini nataka kuwaambia, mtu anayetumia nguvu na kumwadhibu mwenzake kwa kipigo, siyo mwenzi sahihi.
Tabia hii zaidi ipo kwa wanaume. Kosa dogo tu anamwangushia mwenzake kipigo. Kupigana si mapenzi. Kama bado mpo kwenye uchumba tu, kosa dogo kipigo, vipi mkiingia kwenye ndoa? Tafakari jambo hili utaona ni kasoro kubwa sana.
MBINAFSI
Hili ni tatizo lingine. Kama mnahitaji kuwa katika muunganiko wa ndoa, ubinafsi ni sumu. Mwenzi mwenye tabia ya lake linakuwa lake mwenyewe na lako linakuwa lenu hafai kwenye ndoa.
ASIYEJITOA
Hili nalo ni tatizo. Unaweza kuwa na tatizo kubwa na kwa kulitazama unaamini kabisa kwamba mwenzako anaweza kukusaidia, lakini hataki tu. Mathalani unaumwa, anaweza kushindwa hata kufika kukujulia hali - hafai.
Hata kama unampenda kwa kiwango gani, huyu hafai kabisa kuwa nawe kwenye ndoa.
Wiki ijayo tunaingia katika sehemu ya mwisho ya mada hii, USIKOSE!

 

JINSI YA KUPATAWASOMAJI WA KUDUMU KWENYE BLOG YAKO 

Jinsi ya kupata wasomaji wa kudumu

Leo nilikua nasikiliza marketing radio moja hapa nikakuta kipindi chao kilikua kizuri sana hivyo niliyoyasikia huko naona sio vibaya kama nitashare na wengine humu labda moja au mawili yatakusaidia. 
Topic yao ilikua inazungumzia jinsi ya kupata wasomaji wa kudumu. Walikua wanasema watu wengi wenye websites au blogs ambazo haziuzi kitu chochote (information) hawafahamu kuwa wasomaji wa blogs au websites zao ndio wateja wao. Wengi wanajitahidi kupost kila siku lakini hawajui bila msomaji wa kusoma basi wanayoyaweka huko ni bure tu.
Sasa wakasema kama una blog au website na umeshaweka post kadhaa na wasomaji wachache wameshaanza kupitia blog yako kuna mambo mengi ya kuzingatia na kufanya ili wasomaji wako wawe wanahamu ya kusoma blog/website yako kila mara na hata kuwaambia watu wengine kuhusu blog yako..
1. Quality
Hili nadhani kila mtu anafahamu kama unaweka vitu visivyo na quality kwenye blog yako ni kama unawadharau wasomaji wako hivyo ni heri upost vitu vichache vyenye quality nzuri kwa week kuliko kupost vitu vingi visivyo na quality.

2. Unique
Na hili pia wengi tunaelewa kama blog au post zako sio unique basi ujue chance ya mtu kustumble kwenye blog yako halafu arudi tena au akubookmark ni next to none. Hivyo uniqueness ni muhimu...

3. Respect
Hata kama huwasiliani na wasomaji wako in a personal level ni muhimu sana kuonyesha kuwa unawaheshimu. Onyesha heshima kwa kusikiliza maoni yao, kujibu maswali yao kama wanafanya hivyo na pia kuweka vitu ambavyo hata wewe ungependa kusoma kama ungekua msomaji. Na kama wasomaji wako hawatoi maoni au kuuliza maswali yeyote basi tone ya post zako zionyeshe heshima na sio kiburi na kejeli. Kumbuka wasomaji wako ndio wanakuweka hapo sasa kama huwaheshimu utajikuta huna mtu wa kusoma blog yako. 
4. Write what they want to read
Kama watu wameishaijua blog yako na wanajua wewe blog yako inazungumzia mambo gani sana basi stick to that..eg sports, politics, beauty, fashion, family, women, children etc Sio leo uzungumzie michezo kesho urudi kwenye siasa, kesho kutwa upo kwenye fashion etc etc na kama blog yako sio ya breaking news basi jitahidi uweke news za aina moja tu..Sio kukopy na kupaste kila news unayoiona kwenye blog nyingine. 
5. Be professional
Kama una blog inazungumzia kitu fulani basi act like a pro in that topic. Kama hujui research. Ili ukiulizwa swali upate kulijibu. Na pia be professional katika blog template yako au website yako. Ukiweka vitu color au gadgets za kitoto basi watu watakuchukulia hivyo hivyo. Sasa punguza clutters, mavitu mengi na templates yenye rangi rangi nyingi itawakimbiza wasomaji wako. Wanasema jitahidi sana background yako iwe solid color (1st choice). Kumbuka kila unachopost kwenye blog yako kinakurepresent wewe. 
5. Multiple platforms
Wanasema kila mtu ni tofauti na kila mtu anaprocess information kwa njia tofauti sasa kwa vile siku hizi kuna platform nyingi za kupeleka habari basi usiache kuzitumia. Wamesema kwa mfano kwenye site unapopost kitu fulani basi kama hiyo post ina picha tumia Instagram kuweka picha ya hiyo topic huko halafu link hiyo picha kwenye hiyo post yako kwenye blog..Wanasema kuna watu wanaelewa habari zaidi kwa kuangalia picha. Hivyo wakiona picha kama inawavutia watataka kusoma zaidi basi wataenda kwenye blog au website yako. Lakini alisema hakikisha link unayopost kwenye hiyo picture ni ya hiyo post na sio ya blog yako yote in general. Wengi wanakosema na kulink blog yao as a whole na mtu akifuata ile link akakuta kitu kingine kinamkaribisha basi hatakua na hamu ya kusoma blog yako tena bali akikuta hiyo topic aliyoifuata kwa kutumia ile link basi akipendezwa nayo atajikuta anasoma post zingine ulizonazo katika blog au site yako. Hivyo akasema katika topic moja unayopost tumia Instagram, halafu kama una uwezo wa kurecord basi soma hivyo habari hata kwa ufupi uiweke kwenye podcast au blogradio na huko nako pia link your blog. 
6. Easy to navigate
Amesema kuna watu wengine wana website au blog lakini wanafanya iwe ngumu kwa wasomaji wao kuweza kuona post za nyuma au hata mambo mengine. Amesema ili watu wapende kuja kusoma kila siku hakikisha blog au website yako iko easy kunavigate around.
7. Give credit when it's due
Amesema ukitaka watu wakuheshimu na kukuamini basi toa heshima kwa watu unaotumia info au picha zao. Amesema watu wengine wanafikiri wasomaji ni wajinga kuwa kile wanachoweka basi kama wamekitoa mahali pengine hakuna mtu atakayejua. Sasa amesema kama umetoa picha mahai fulani usijifanye ni yako wewe original weka heshima. Kama umetoa habari mahali fulani basi link hiyo sehemu ulipoitoa. Na kama umeiandika hiyo habari in brief basi weka link ya mahali unayojua wakienda huko watapata habari yote kwa kirefu zaidi.  Hiyo itawaongezea wasomaji uaminifu kwako na pia kuwarahisishia kama kitu hawajaelewa wataenda kwenye hiyo link na kupata habari zaidi. Pia faida ya kuweka link na credit za mahali unapotoa habari zako ni kuwa kama watu wakigoogle ile blog au site uliotoa information pia na ya kwako itapop up kwenye list na the more blog yako inakuwa searchable mara nyingi the more inapanda juu katika search. Hivyo hata siku kama umepost habari ambayo watu wengi pia wamepost lakini watu wakigoogle blog yako itakua juu kwa habari hiyo. Na la muhimu wengi watakua wanatumia blog yako kwa kujua kuwa ni unapata mambo memgi ya muhimu na unawalink kwenye habari nyingine zaidi zamuhimu na utaonekana uko pro.
Watu wanachokosea
1. Alichochosema watu wanakosea na kujipunguzia wasomaji bila kufahamu ni kuwa mtu anaweza kuwa na blogspot, wordpress na tumblr sasa anapost habari hiyo hiyo kwenye sehemu zote hizo na kufikiria kuwa watu wengi wataona na kusoma. Amesema hiyo ni kupoteza nguvu kwa vile watu wanaopenda kusoma na kujua habari zako ni nzuri watakufuata tu hata ukiwa na mahali pamoja tu. Na kama unataka habari yaku iwe juu mapema kwenye search engine basi iweke mahali pamoja tu. Blog yako ikiwa watu wanaingia mara kwa mara katika kila wanachosearch basi itajikuta inakua juu tu lakini zikiwa tatu nne zenye habari hiyo hiyo basi zingine hazitaonekana bali ile moja yenye watu wanayoingia mara kwa mara. Hivyo kuweka kwenye platform nyingine zenye muundo mmoja ni kupotea muda tu na kupoteza wasomaji.
2. Kingine wamesema kama unatumia social network kama Twitter, Facebook au G+ set platform moja tu iwe inatweet kwa wakati mmoja. Au kama unataka ziwe zinatweet zote basi set kwa muda tofauti. Ukiwapata watu wa nchi mbalimbali kwa masaa yao. Mfano kama unataka watu walioko Marekani, Africa na Asia  wasome habari yako asubuhi basi set hizo ziwe zinapost kwa wakati tofauti lakini usije ukatumia mfano blogspot, instagram, facebook, podcast, tumblr kupost habari hiyo hiyo kwa mara moja kwenye twitter au kama unashare kwenye G+ ...Amesema ukifanya hivyo watu watakuchoka na hata hawatasoma habari zako tena. Kama ni habari hiyo hiyo share kwenye twitter kwa masaa tofauti na kama ni G+ share zile za maana tu zingine watakuja kuzifuata wenyewe huko. Sio kila kitu unashare. Share vichache vilivyo interesting halafu watu watajikuta wanaenda kuangalia nini tena unacho huko kwenye blog yako.
Okay I hope hii itawasaidia wengi kwa sababu niliona ni ujumbe mzuri sana hasa kwa watu wanaoanza kuingia katika hii fan hii ya kublog iwe as a hobby au profession..Kwa vile wengi wanaaznza na kujikuta hawana wasomaji wakudumu kila siku na kujikuta wanakata tamaa bila kujua blog zipo nyingi sana sasa ni nini kitawafanya watu wasome blog yako na kupenda kurudi kusoma kila siku ndio jibu la kuweza kupata wasomaji wa kudumu. 

Kama unafahamu lingine ambalo sijaliweka hapa feel free kuchangia kwenye comment hii yote ni kujaribu kutafuta njia ya kuboresha blog zetu za watanzania popote pale walipo..
http://www.tanzanianblogawards.com/2012/07/jinsi-ya-kupata-wasomaji-wa-kudumu.html

1 comment: