uwa kitu kizuri kila mtu anakitaka haswa mafashionista
utakuta wamevaa nguo zinafanana ila uzuri kila mtu anastyle kivyake na
kuipa nguo muonekano tofauti tofauti tofauti.
Hii ni rahisi pia kukupa idea uvaeje skirt hizi utokelezee
![itscamilleco.com2013112401-800x1181[1]](http://www.8020fashionsblog.com/wp-content/uploads/2014/02/itscamilleco.com2013112401-800x11811.jpg)
nc style
![blogger-image--159240316[1]](http://www.8020fashionsblog.com/wp-content/uploads/2014/02/blogger-image-15924031611.jpg)
hapo je!
pics credit jadore,cammile tries to bloh & pinterest
NGAALIZO:Huwezi vaa sneakers na Bodycon dress kama a night wear msituchoshe


RiRi nae yumo kwa hili namsuport.
yes casually waweza vaa sneakers na suit
NGAALIZO:Huwezi vaa sneakers na Bodycon dress kama a night wear msituchoshe


RiRi nae yumo kwa hili namsuport.


yes casually waweza vaa sneakers na suit



Rita Ora nae ametupia na short skirt na fur faux cardigan



kijigaun kifupi
pics credit :justine timberlake
DESIGNER WA MRISHO MPOTO APATA MKATABA MNONO

Jackson Gumbala ni moja kati ya wabunifu wanaofanya vizuri katika upande wa mavazi ya kiasili na kawaida kama vile amemvalisha mwanamuziki Mrisho Mpoto na timu yake katika kichupa chake cha ‘Waite’ na anawavalisha baadhi ya watu maarufu hapa Tanzania kama Millard Ayo, Ma-miss University nk.
Kwa sasa mbunifu huyo amepata dili na Ubalozi wa Rwanda kwa ajili ya kuwavalisha katika moja ya sherehe yao inayotarajia kufanyika hivi karibuni hapa jijini Dar es Salaam, Tanzania hivyo Jackson alisema
“Ni kweli nimepata dili la kuwavalisha staff nzima ya Ubalozi wa Rwanda ambalo ni jambo kubwa kwa wao kuniita na kufanya nao kazi kutokana na kuvutiwa kwangu katika kazi zinazoonekana machoni kwa watu.”
No comments:
Post a Comment