WEUSI WAFUNIKA KWENYE UZINDUZI WA NYIMBO YAO MPYA YA GERE!
Jana
(April 30), Kampuni ya Weusi ilizindua rasmi video ya wimbo wao ‘Gere’
pale Mediteraneo Hotel, Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu wengi
maarufu na mashabiki.
Uzinduzi huo ulifunguliwa kwa Live Show toka kwa wasanii waliowahi kushiriki Tusker Project Fame, Hisia na Damian Soul.Hisia ndiye aliyeanza kufanya Live Show kwa gitaa na kuwapa zawadi watu waliohudhuria uzinduzi huo kwa kuimba wimbo ambao bado hajaurekodi unaioitwa ‘Give Me a Call’ na kuwataka watu wampe maoni kama aende akaurekodi au aachane nao.








MR. BLUE NA BONGE LA NYAU WA KONGA NYO ZA MASHABIKI WAO MKOANI LINDI KATIKA SIKUKUU YA PASAKA
(Photo’s) Yaliyojiri pale CLUB 71 KIBO COMPLEX Tegeta kwenye show ya IZZO B (@Izzo_bizness)
PICHA Yaliyojiri kwenye USIKU WA MASTAA (UZINDUZI WA THE PLAYLIST) MARCH 7 CLUB INFINITY MIKOCHENI RESORT CENTRE







YALIYOTOKEA KWENYE SHOW YA OMMY DIMPOZI (@OmmyDimpoz2) kule LONDON





No comments:
Post a Comment