Monday, July 21, 2014

DR CHENI ASHEREKEA SIKU YAKE YAKUZALIWA KWA MBWEMBWE

Ni jioni iliyowakusanya watu wengi ambao walikuja kwa ajili ya kuona namna brother kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Dr.Cheni anavyosherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo ni July 20.
Mastar kadhaa kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva walikusanyika kumpongeza Dr.Cheni kwenye siku yake hii ambayo kwake kaitumia kuwafuturisha wote waliohudhuria kisha ikafata kula keki kwa kila aliyehitaji.
Miongoni mwa mastar kadhaa walikuwepo ni pamoja na Jb,Shamsa Ford,Ray,Steve Nyerere,Shetta,Profesa Jay,Lulu,Mrisho Mpoto,Ray,Young killer,Khadija Kopa na wengi
154chn




















102chn99chn

86chn

83chn












2chn

No comments:

Post a Comment