Soko Maarufu la
Mitumba Karume jijini Dare es Salaam limetekea kwa moto ambao mpaka sasa
haujajulikana chanzo chake. Moto huo ambao unasemekana ulianzia majira
ya jana usiku saa tatu umeteketeza mali za mamilioni ya shilingi na
kuacha wafanya biashara wengi kwenye wakati mgumu.
Moto ukiendelea kuunguza mabati yaliyosalia.
Kila kitu kimeungua.
Watu wakiokoteza mabati
Mabango ya Matangazo ya Biashara yakiwa yametekea pia.
Moto ukiendelea kuunguza mabati yaliyosalia.
Kila kitu kimeungua.
Mabango ya Matangazo ya Biashara yakiwa yametekea pia.
No comments:
Post a Comment