Sunday, February 8, 2015

WATU SITA WAJERUHIWA KATIKA AJALI KILIMANJARO



Muonekano wa ajali baada ya basi la Harambee kugongana na lori eneo la Uchira mkoani Kilimanjaro mchana wa leo.

Muonekano wa mbele wa lori baada ya ajali.

Muonekano wa basi la Harambee baada ya ajali.

AJALI mbaya imetokea mchana wa leo eneo la Uchira mkoani Kilimanjaro baada ya basi la Harambee kugongana na lori na kusababisha watu sita kujeruhiwa na wawili kati ya hao kuumia zaidi.
Mtandao huu uliongea na kamanda wa polisi wa mkoa wa kilimanjaro na kathibitisha ajali hiyo kutokea.

CREDIT GPL.

No comments:

Post a Comment