Sunday, February 8, 2015

UZINDUZI VIDEO YA MH.TEMBA, CHEGE NA MADEE WAFUNIKA ESCAPE ONE JIJINI DAR



Mh. Temba pamoja na Chege wakionesha manjonjo stejini.

Madee akiwa na wacheza shoo wake kwenye hafla hiyo wakitoa burudani.

Yamoto band wakitoa burudani.

Warembo wakipiga picha katika red carpet iliyoandaliwa.

Yamoto band wakipozi kwa picha katika red carpet pamoja na mashabiki wa muziki.

Mashabiki wakifuatilia burudani.

Chegge na Mh.Temba wakiwa katika picha ya pamoja na wacheza shoo wao kwenye red carpet.
KATIKA ukumbi wa Escape One jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo kulikuwa na uzinduzi wa video za wasanii nyota watatu, Mh. Temba na Chegge kwa pamoja wakiwa na video yao ya Kaunyaka, huku Madee akiionyesha kwa mara ya kwanza Vuvula, kazi ambazo ziliwapagawisha kwa kiwango kikubwa mamia ya mashabiki waliojazana ukumbini hapo.

(GREDIT: DENIS MTIMA / GPL)

No comments:

Post a Comment