Kutoka
Team XXL ya Clouds Fm July 22 amezaliwa Hamis Mandi aka B12 au B Bozen
ambapo Jumanne ameamua kusherehekea siku yake huu muhimu kwa kufuturu na
watoto yatima.
Hii ni mara ya nne mastar wa Tanzania kufuturisha alianza
Diamond,akafata Shilole kisha ikafuata futuru iliyoandaliwa na THT kisha
Dr Cheni kwenye kusherehekea Birthday yake na sasa ni B12.
Hizi ni baadhi ya picha za shughuli ilivyokuwa.

Soudy brown akilishwa keki na B Dozen.

Shilole akiwa kambeba mmoja kati ya watoto Yatima hao.

Bob Junior akila keki.

B Dozen na Nuh Mziwanda.
No comments:
Post a Comment