BASI LA PRINCESS MURO LAPINDUKA KARIBU NA MBUGA YA WANYAMA MIKUMI
Hawa ni baazi ya abiria walio okolewa kwenye ajali hiyo ila kuna wengine wamejeruhiwa
Magari yakiwa yamesimama ili kutoa msaada kwa abiria hao.
Abiria wakiwa hawajui la kufanya baada ya ajali hiyo.Mpaka lini ajali za barabarani zitaendelea kujeruhi na kukatisha maisha ya watanzania wasio na hatia?
No comments:
Post a Comment