Sunday, April 20, 2014

PRODUCER MAARUFU WA BONGO FLEVA P FUNK AAMUA KUOA


Screen Shot 2014-04-20 at 12.22.00 AM
Finally I made the big move’ ni moja ya caption za picha alizoweka Producer huyu ambae mikono na akili yake vimetumika sana kuuinua muziki wa bongofleva toka inaanza enzi hizo na kina Juma Nature na wengine wengi.
Majani au p Funk
 
Haya sasa wakati wakuvishana pete pendeza sana
 
baazi ya pongezi kutoka kwa wasanii wa bongo fleva na hawa ni baazi tuu.
 
Picha hii na nyingine zimetoka kwa jestina-george.com zikiwa ni Exlcusive kwake
Haya sasa marafiki na jamaa wakiwapongeza ukumbini.

Wamefanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi hongereni sana
 
  Screen Shot 2014-04-20 at 12.49.47 AM 
Hidaya pembeni  ni P Funk majani  hongera kaka kila la heri katika maisha mapya ya ndoa,

CREDIT jestina-george.com


No comments:

Post a Comment