Thursday, April 17, 2014

MPIGA BASS GUITAR WA SKY LIGHT BAND AFARIKIN DUNIA





Aliyekua mpiga Bass Guitar wa Skylight Band amefariki dunia usiku wa kuamkia leo April 17,Marehemu Ayubu songolo ama chilichala ambaye alizoeleka kwa jina hilo amefariki ghafla ambapo taarifa inasema alianguka akiwa nyumbani kwake.
Marehemu Alikimbizwa hospitali akiwa amepooza mwili na ameacha Mke na watoto wawili,miongoni mwa bendi alizowahi kuzifanyia kazi ni bendi ya Akudo Impact,Fm Academia na mwaka jana alijiunga na Skylight band,mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwake Mwanyamala B karibu na msikiti wa Hidaya.

No comments:

Post a Comment