Thursday, April 17, 2014

MAJONZI YATAWALA BAADA YA MELI KUZAMA KOREA KUSINI

  • Hali ya majonzi imetawala nchi ya Korea kusini kwa ajali  mbaya ya kuzama kwa meli iliyo beba watu zaidi ya 400 iliyo tokea jumatano wiki hii kwani wengi wao wakiwa wanafunzi inasikitisha sana na inatia majonzi hasa kwa ndugu na jamaa walio fikwa na mkasa huo. Takriban watu 300 bado hawajapatikana ,9 wamethibitishwa kufariki na wengine 179 wameokolewa

No comments:

Post a Comment