Saturday, April 5, 2014

MAFIKIZOLO KUFANYA SHOW WIKEND HII DAR ES SALAAM


.

Kundi kutoka Afrika Kusini Mafikizolo linatarajia kuwasili leo kuja kwa lengo la kutoa burudani ya kutosha na kufanya Tamasha kubwa pale Mlimani City Dar es Salaam hapo tarehe 5 April.
Ni Kundi linalounganisha vijana wawili Nhlanhla Nciza, na Tebogo Madingoane ambao wanafanya vizuri na kupendwa na watu wengi kwa staili ya mziki wao ‘Kwaito’ kupitia vituo mbalimbali vya Radio na Television kwa nyimbo zao mbalimbali ikiwemo Ndihamba Nawe,Nisixoshelani,Happness na Khona.

No comments:

Post a Comment