Friday, April 18, 2014

BAADA YA DIMOND KUCHAGULIWA KWENYE TUZO ZA KORA SASA KUWANIA TUZO ZA MTV(MAMA)




Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za MTV Africa Music Awards (MAMA) KwaZulu-Natal.
Muimbaji huyo wa Tanzania anawania vipengele viwili. Katika kipengele cha kwanza cha Best Male, Diamond anachuana na Best Male Anselmo Ralph, Davido, Donald na Wizkid. Katika kipengele cha wimbo bora wa ushirikiano, Best Collabo, wimbo wake ‘My Number 1’ aliomshirikisha Davido, unapambana na ‘Happiness’ wa Mafikizolo f/May D, ‘Kiboko Changu’ wa Amani f/ Radio and Weasel, ‘Slow Down’ wa 2Rbees ft Wizkid na ‘Y-tjukutja’ wa Uhuru f/DJ Bucks, Oskido.
Kazi iko kwetu tumsapoti iliaweze kushinda hongera sana kwa jitihada zako nakutakia ushindi wakishindo.

Vipengele vingine ni kama ifuatavyo:

Best Lusophone – @philiphanselmo, @liizhaJames, JD, Yuri Da Chunha na Nelson Freitas.
Best hip hop AKA, Khuli Chana, Ice Prince, Olamide na Sarkodie
Best Pop – @Locnville, @GoldFishLive, @FuseODG, @dannykmusic na @MatthewJMole
Best Alternative – @GangsOfBallet, @parlotones, Nakhane Toure, Micheal Loman na Shortstraw
Bet New Act – @burnaboy, @HeavykDrumboss, Phyno, Stanley Enow na @Uhurukalawa
Best Live Act – @2faceidibia, @fallyipupa01, @drmalinga, @ZakesBantwiniSA na @2niteFlavour
Personality of the year – @Trevornoah, @Lupita_Nyongo, @Toure_yaya42, na Omotola (@Realomosexy)
Best female – Arielle T, @EFYA_Nokturna, @TiwaSavage, @dj_cndo na @chidinmaekile
Best Group – @BigNuz_Afro, @MafikizoloSA, @PeterPsquare and @rudeboypsquare (P-Square), @SautiSol na @MiCasaMusic
Artist of the year – iam_davido, @MafikizoloSA, @MiCasaMusic, @Uhurukalawa na P-Square
Song of the year: ‘Skelewu’ Davido, ‘Pluto’
@DjClock ft @Beatenberg_Band, Xigubu DJ Ganyani ft. FB, ‘Spin My World Around’, @DJKENTSA, ‘Surulere’, Dr Sid ft Don Jazzy, ‘Limpopo’, Kcee, ‘Khona’, Mafikizolo, ‘Jika’ @MiCasaMusic, ‘Personally’ P-Square na ‘Atchu Tchu Tcha’ @yuridacunha
Best Francophone: Arielle T (Gabon) Espoir 2000 (Ivory Coast) Ferre Gola (DRC) Toofan (Togo) Youssoupha (Congo)

Tuzo hizo zitatolewa mwezi May nchini Afrika Kusini.

post title
AND FOR BEST COLLABORATION
NUMBER 1 REMIX,DIAMOND FT DAVIDO
VOTE HERE
post title
 Hii ndio link ambayo unaweza mpigia kura

No comments:

Post a Comment