Afisa Mtendaji wa kampuni ya DMB ambayo ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud kipanya akiongea katika uzinduzi wa kijiji cha Maisha Plus ambapo washiriki wapatao 29 waliingiingia kijijini kuanza kukabiliana na changamoto kupawania milioni 25 za kitanzania
Mmoja ya wawakilishi toka Oxfam ambao ni wadhamnini wa Maisha Plus 2014 akizungumza machache. Pembeni yake ni Afisa mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Masoud kipanya).
Wageni waalikwa.
Kazi ya kujenga nyumba za kuishi washirki wa maisha plus ikiendelea... ambapo washiriki hao walitakiwa kujenga nyumba zao za kuishi ndani ya masaa 48. .
Safari ya kuelekea kijiji cha Maisha Plus imeanza rasmi... washiriki wakiwa wamebeba mabegi yao ambapo kila mmoja alibeba mzigo wake mwenyewe kwa kutembea kwa miguu umbali wa kilometa 1.5.
Safari ikiendelea huku washiriki wakiwa wameshachoka... wengine walitamani kughairi kuendelea na safari.
Wengine ilibidi wasaidiane kupeba mizigo.
Hakuna kuchoka, kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe...
No comments:
Post a Comment