
Bamboo amesema ‘kitu kizuri au kikubwa ninachokiona kwenye muziki wa bongofleva sasa hivi ni kile kinachoonekana kwenye Channel O, MTV au East Africa TV na ninachokiona ni kwamba Diamond anang’aa sana sehemu hizo’
‘

Sio kwamba mimi ni shabiki wa Diamond lakini kiukweli Dimond ni msanii ambae anafanya kazi kwa bidii na kuelewa ni kitu gani anatakiwa kukiwasilisha, napenda kuona msanii mwenye bidii kama yeye kwenye kazi… anajua anachofanya’ -Bamboo

Hapa Diamond akiwa na Victoria kimani.

Hapa Diamond akiwa na Victoria kimani.
credit millardayo
No comments:
Post a Comment