"Muungano wa Serikali mbili hauwezekani sasa. Muungano ambao tuliachiwa na waasisi wetu si huu. Waasisi walituachia nchi moja, Serikali mbili. Hawakutuachia Serikali mbili, nchi mbili. Msingi wa serikali mbili ni nchi moja. Ukiwa na nchi mbili huwezi kukwepa kuwa na serikali tatu. Upande mmoja una hadhi na mamlaka, upande mwingine hauna hadhi na mamlaka. Huwezi kukwepa.
"Serikali tatu hazitateteresha uimara wa Muungano. Kosa tunalofaanya ni kudhani kuwa huu ni Muungano wa viongozi. Hapana. Ni Muungano wa wananchi, si viongozi."- Jaji Joseph Warioba
"Serikali tatu hazitateteresha uimara wa Muungano. Kosa tunalofaanya ni kudhani kuwa huu ni Muungano wa viongozi. Hapana. Ni Muungano wa wananchi, si viongozi."- Jaji Joseph Warioba
No comments:
Post a Comment