Thursday, March 13, 2014

MALAYSIA YATUMIA WATUMIA WAGANGA WA JADI KUSAIDIA KUTAFUTA NDEGE ILIYOPOTEA

Mganga maarufu nchini Malysia bwana Ibrahim mat  zin alifanya tambiko kwenye uwanja wa kwenye uwanja wa kuala lumpur ilikuweza kujua wapi ilipo ndege iliyopotea MH370  aliombwa kufanyahiyo kazi na viongozi wa juu wa serikali
majibu ya mganga yalikuwa hivi" Nadhani  ndegebado ipo angani ama imeanguka baharini"

No comments:

Post a Comment