![]() |
Platnum kama balozi wa coca cola nae ndani Burudani mwanzo mwisho. |
![]() |
Madee katika stage nani!! kamwaga soda yangu.......... |
![]() |
Madee na mistari yake akiburudisha mashabiki waliofurika kwa wingi uwanja wa Furahisha Kirumba jijini Mwanza. |
![]() |
Madee. |
![]() |
Katika stage sasa ni zamu ya Chege Chigunda na Mheshimiwa Temba kukisanukisha kwenye stege la viwanja vya Furahisha jijini Mwanza. |
![]() |
Wanaume kazini. |
![]() |
Watu nyomi si mchezo siunajua show ya bure... |
![]() |
Chege na Temba kama kawaida yao. |
![]() |
Chege chigunda kwenye stage. |
![]() |
Mh Temba. |
![]() |
Enjoy your drink. |
![]() |
Palikuwa hapatoshi. |
No comments:
Post a Comment