Saturday, January 24, 2015

MFALME WA SAUDIA AFARIKI DUNIA




Siku ya jana January 22 tumeshuhudia Zambia wakifanya uchaguzi wa Rais baada ya Rais wao Michael Chilufya Sata kufariki akiwa madarakani mwaka 2014, hiyo ilikuwa mara ya pili Zambia kupata msiba wa Rais wao akiwa madarakani, wa kwanza alikuwa Levy Mwanawasa aliyefariki mwaka 2008.
Taarifa sio nzuri kutoka Saudi Arabia, vyombo vikubwa vya habari kama CNN, Sky News na BBC vinaripoti kuhusu msiba wa aliyekuwa Mfalme wa Saudi Arabia, Abdullah Bin Abdulaziz ambaye amefariki akiwa Hospitalini akipatiwa matibabu, taarifa za kifo cha mfalme huyo zimetolewa na kaka yake Salman ambaye naye aliwahi kuwa mfalme.

No comments:

Post a Comment