Thursday, January 1, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ALIHUTUBIA TAIFA KWENYE TAMASHA LA MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA, JIJINI DAR


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi alipowasili Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana usiku Disemba 31, 2014/2015 kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la mkesha wa Mwaka Mpya na Dua maalum ya kuliombea Taifa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal,…

No comments:

Post a Comment