Friday, December 12, 2014

MUHAMMAD BUHARI KUGOMBEA URAIS NIGERIA KUPITIA UPINZANI

Mgombea urais wa chama kikuu cha upinzani nchini Nigeria, Muhammadu Buhari.
Chama kikuu cha upinzani nchini Nigeria kimemchagua Muhammadu Buhari kuwa mgombea wake katika uchaguzi wa rais utakaofanyika mwezi Februari 2015.
Mtawala huyo wa zamani wa kijeshi aliwashinda wagombea wengine wanne kutoka chama cha All Progressives Congress, APC -akipata kura mara tatu zaidi ya kura za mgombea aliyepata nafasi ya pili katika uchaguzi wa cham

No comments:

Post a Comment