Tuesday, December 2, 2014

CHRISTIAN BELLA ALIPOWASILI DAR JANA AKITOKEA SWEDEN


Christian Bella (katikati) akiwa na promota Bongam (kushoto) na Meneja wa Malaika Band, Juma Abajalo.

...Akiwa na wadau wake Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar baada ya kutua nchini akitokea Sweden. 
Mwanamuziki Alawi Junior akiwa kwenye pozi eno la uwanja huo.

Bella (wa pili kulia) akisalimiana na wanamuziki wenzake Baadhi ya wananmuziki wa Malaika Band wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar

No comments:

Post a Comment