
Kupitia ukurasa wa facebook Afande Sele aliandika “Ndugu zangu!!
Nimefiwa na mzazi mwenzangu (Asha) /mama wa wanangu (mama Tunda) ..ni
pigo kubwa kwangu na wanangu. Sisi ni waja wa mwenyezi mungu na hakika
kwake tutarejea; mungu ampumzishe pema.”
R.I.P Asha.