ANIMATION HEADER
Pages
Home
ELIMU
MITINDO
MICHEZO
SIASA
UJENZI NA MAISHA
JOB VACANCE
BURUDANI
Tuesday, July 8, 2014
WANANCHI WAFURAHI KUMUONA RAIS KIKWETE AKIJUMUIKA NAO KWENYE MAONESHO YA SABASABA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete alitembelea kwa mara ya pili maonesho ya kimataifa ya bishara katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, baada ya ratiba yake kutokamilika katika ziara yake aliyoifanya siku ya Jumamosi kutokana na muda. Na kama ilivyo ada wananchi walifurahi kuwa naye karibu kama ambavyo yeye pia alifurahi kujumuika nao kwenye maonesho hayo ya kila mwaka. Watoto ndio waliokuwa wakimvutia zaidi Rais Kikwete ambapo kila mara alisimama na kuwasalimia.
Labels:
Habari
,
MATUKIO
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment