
Wimbo ulipotoka kila mtu alielewa kilichozungumzwa na Profesa Jay
hasa upande wa mashairi akitoa ushuhuda wa maisha yake ambayo
yameongelewa mengi mpaka hapo alipo kiasi cha kuuliza ‘Kipi Sijasikia’
Video yake imeanzwa kutengenezwa July 12 ikimhusisha pia Super
Producer wa wimbo huu P.funk Majani ambaye kwa video hii kasimama kama
wakili pamoja na Diamond Platnumz upande wa pili.
Video hii inaongozwa na Adam Juma kutoka Next Level,baadhi ya vipande wakati video hii ikifanywa ni hivi.
CHANZO MILLARD AYO
No comments:
Post a Comment