Friday, July 4, 2014

JOE MAKINI ACHAGULIWA KUSHIRIKI COKE STUDIO 2014

Mwaka huu wametoka wasanii watatu watakao shiriki Coke Studio akiwemo Vanessa Mdee, Diamond pamoja na Joe Makini kutoka Weusi... Joe makini ameongea ...... msikilize zaidi hapo chini
 Kama unakumbuka mwaka jana Diamond Platnumz alishiriki katika kipindi cha TV cha Coke Studio akiwa pamoja na victoria kimani kutoka kenya na wasanii wengine kutoka Africa.

No comments:

Post a Comment