Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari na Mai Waifu
wake Anande Nnko wakishangiliwa kwa shangwe mara baada ya kumeremeta
kwao kwenye kanisa la Kipentekoste la Kilinga,Meru jijini Arusha.
"Mmetuona "ni kama ndio maneno yaliyokuwa vichwani mwao maharusi,Joshua Nassari na Anande Nnko wakionesa vyeti vyao vya ndoa.
Maharusi wakiwasalimia waumini waliohudhuria ibada ya ndoa yao
No comments:
Post a Comment