ANIMATION HEADER
Pages
Home
ELIMU
MITINDO
MICHEZO
SIASA
UJENZI NA MAISHA
JOB VACANCE
BURUDANI
Saturday, May 10, 2014
LUPITA AKIWA NA RAISI OBAMA,MISHELLE OBAMA NDANI YA WHTE HOUSE
Amefuatilia na vyombo vingi vya habari duniani toka alivyofanya filamu ya 12 Years A Slave na kupata tuzo ya Oscar.
Lupita ameandikwa na magazeti na majarida makubwa kuhusu mambo tofauti kama filamu, familia na mitindo ya mavazi.
Hivi karibuni alipata mwaliko wa kwenda White kuonana na Obama pamoja na watu tofauti kwenye chakula cha usiku.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment