Wednesday, May 21, 2014

KINANA ALIPOHUTUBIA TABORA MJINI



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Mei 20, 2014, kwenye Viwanja vya Stendi mjini Manyoni, akiwa katika siku yake ya pili ya ziara ya siku nane mkoani Singida, kwa lengo la kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua mkoani humo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano huo leo
  Wananchi wakishangilia kwenye mkutano huo
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Heka Azimio, zaidi ya kilometa 20 kutoka mjini Manyoni leo Mei 20, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akimkaribisha jukwaani Mbunge wa Manyoni Mashariki  kapten Mstaafu John Chiligati kuwaeleza ananchi alivyosimamia utekelezaji wa ilani ya CCM katika jimbo lake hususan kijiji hicho cha Heka katika kuboresha huduma mbalimbali ikiwemo ya umeme na maji
Wanachama 28 waliopewa kadi zao za CCM na Kinana kwenye mkutano huo wa Kijiji cha Heka Azimio, wakila kiapo
Kinana na Nape wakiwa na viongozi wengine wa Manyoni kuungana na wanachama hao wapya  kula kiapo
 Kinana akipewa zawadi ya zana za asili na mzee mmoja wa Kijiji cha Heka, wilayani Mnyoni leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akimpa tofali fundi aliposhiriki ujenzi wa maabara ya shule ya sekondaro Heka, Manyoni, Mei 20, 2014 wakati wa ziara hiyo
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Mgana Msindai (kushoto) akimpatoa tofali Nape ili kumpatia fundi wakati wa kushiriki kwenye ujenzi wa chumba cha maabara ya shule hiyo ya Heka
Nape akimpatia fundi tofali kwenye kushiriki ujenzi wa chumba hicho cha maabara katika shule hiyo ya Heka, leo Mei 20, 2014
Kinana akizindua nyumba ya mpya ya kisasa ya mfugaji Jonase Mihangwa wa Kijiji cha Heka, wilayani Manyoni ambye  ambaye amekuwa miongoni mwa wafugaji wa kuigwa kwa kuamua kuuza sehemu ya mifugo yake kubadilisha maisha yake ikiwemokujenga nyumba hiyo ya kisasa yenye umeme wa mionzi ya  jua.
Kinana na msafara wake wakiwa kwenye nyumba hiyo ya kisasa ya mfugaji huyo
Mihangwa (kulia) akienda kumuonyesha Kinana nyumba yake duni ya zamani alimokuwa akiishi kabla ya uamuzi wake wa kuuza sehemu ya mifugo yake na kujenga nyumba ya kissa
Nyumba duni ya zamani ya mfugaji Mihangwa
Kinana akiangalia mifungo ya Mfugaji Mihangwa iliyobakia baada ya kuuza mingine kwa ajili ya kujenga nyumba ya kisasa. Mihangwa  anasema aliamua kuuza ng'ombe 200 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hiyo ya kisasa.
Kinana akishiriki ujenzi wa Uwanja wa Jumbe ambao umefanyiwa ukarabati na Mbunge wa Manyoni, Kapteni Chiligati
Kinana (wapili kushoto) akishiriki mazoezi na vijana wanaoshiriki michuano ya UMISETA kwenye Uwanja huo wa Jumbe, alipowatembelea kuwaona na kushoriki ujenzi wa Uwanja huo, leo Mei 20, 2014
Kinana (wapili kushoto) akishiriki mazoezi na vijana wanaoshiriki michuano ya UMISETA kwenye Uwanja huo wa Jumbe, alipowatembelea kuwaona na kushoriki ujenzi wa Uwanja huo, leo Mei 20, 2014 
Kinana (wapili kushoto) akishiriki mazoezi na vijana wanaoshiriki michuano ya UMISETA kwenye Uwanja huo wa Jumbe, alipowatembelea kuwaona na kushoriki ujenzi wa Uwanja huo, leo Mei 20, 2014 
Mwanachama wa CCM ktk Shina mamba tisa tawi la CCM Mwembeni Manyoni, Mchungaji  Daniel Makavu akisoma risala kwa Kinana (watatu kushoto), aliyefika kwa balozi wa shina namba tisa akiwa katika ziara hiyo mjini Manyoni

 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akizungumza kwenye kikao maalum nyumbani kwa Mjumbe wa shina namba tisa, tawi la CCM Mwembeni, Daudi  Mwembwa, alipofika kwa balozi huyo leo Mei 20, 2014.

. Picha zote na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment