Saturday, April 5, 2014

WAKAZI WA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA




Meza kuuya majaji


Jukwaa la majaji likiwa tayari kwa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo mkoani Mwanza katika Kanda ya Ziwa.

Mafundi mitambo wakiwa tayari kwa kazi.

washiriki wakiwa nje


washiriki wakiwa wako kwenye mstari kwa ajili ya usili


Kundi la kwanza la vijana waliojitokeza katika usaili wa shindano hilo wakiwa kwenye foleni tayari kwa zoezi la kuonyesha vipaji.

washiriki wanasubiri kuitwa mmoja baada ya mmoja


Kundi la kwanza la vijana waliojitokeza katika shindano hilo wakiwa kwenye chumba cha kusubiria.
Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment