Wednesday, April 23, 2014

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA TRA WILAYA YA KARATU




Pichani ni Rais Jakaya Kikwete, Mbunge wa Karatu, Mchungaji Israeli Nase (wa tatu kushoto), Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe (wa pili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo (kushoto) na Mkurugenzi wa Utumishi na utawala wa TRA aliyemwakilisha Kamishna mkuua wa TRA Bwana Abubakari Kunenge (wa pili kulia) na kulia ni mwakilishi wa ofisi ya TRA Mkoa Bi.Caroline Ntinku wakati wa ufunguzi rasmi wa ofisi ya Mamlaka ya mapato Wilaya ya Karatu leo.

No comments:

Post a Comment