Wednesday, April 16, 2014

MELI YAZAMA KOREA YA KUSINI NA WATU ZAIDI YA 300 BADO HAWAJAPATIKANA

4 
Zaidi ya watu 300 bado hawajapatikana baada ya meli kubwa iliyobeba watu 459 kuzama huko South Korea ambapo sehemu kubwa ya watu waliokuwemo kwenye meli hiyo ni wanafunzi na walikuwa wanasafiri kutoka kwenye bandari ya Incheon kwenda kwenye kisiwa cha Jeju.
Watu watatu wamesharipotiwa kufariki licha ya watu zaidi ya 300 kutoonekana na 13 wametolewa kama majeruhi huku uokoaji zikiendelea ambapo hadi habari hii inawekwa shughuli za uokoaji zinaendelea na watu wengi wanaokolewa kupitia madirisha huku chanzo cha ajali kikiwa hakijajulikana.
Meli ikiwa inaelekea kuzama kabisa
Msaada wa uokoaji unaendelea
Meli ikiwa inaza na jitihada zaukoaji kama helikopta inavyoonekana. 
chanzo REUTERS.

No comments:

Post a Comment