Mvua iliyo nyesha siku mbili mfulizo imeharibu miundombinu ya barabara, Makazi ya watu kwani ilipelekea baazi ya shughuli kusimama kwa muda kwani palikuwa hapapitiki kutokana maji kujaa seheemu nyingi na makazi ya watu kufunikwa na maji hasa wanao ishi mabondeni madhara ni makubwa.Mali nyingi za watu zimeathiriwa ila mpaka sasa aijafahamika ni kwa kiasi gani.
No comments:
Post a Comment