Pages

Saturday, April 12, 2014

HIVI NDIVYO MVUA ILIVYO ATHIRI MAENEO MENGI YA JIJI LA DAR ES SALAAM!

 
Mvua iliyo nyesha siku mbili mfulizo imeharibu miundombinu ya barabara, Makazi ya watu kwani ilipelekea baazi ya shughuli kusimama kwa muda kwani palikuwa hapapitiki kutokana maji kujaa seheemu nyingi  na makazi ya watu kufunikwa na maji hasa  wanao ishi mabondeni madhara ni makubwa.Mali nyingi za watu zimeathiriwa ila mpaka sasa aijafahamika ni kwa kiasi gani.

No comments:

Post a Comment