Penny na JB wakizungumza biashara na raia wa kigeni
Penny Mungilwa anafuata nyayo za mpinzani wake Wema Sepetu kwenye
filamu? Huenda ikawa hivyo sababu ni nini anaweza kukifanya akikaa meza
moja na CEO wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephen aka JB?
Hata hivyo sio JB pekee anayehusika katika mchongo huo, kuna watu
wanaonekana kuwa ni raia wa kigeni (ama Watanzania wengi asili ya
mataifa mengine) wanaonekana kuamua kuwekeza kwa mastaa hao katika mradi
ambao bado haujajulikana
Mkutano wa biashara
“Something very big is coming. Taking things to the next level.
Strictly business…stay tuned,” ameandika JB kwenye akaunti yake ya
Instagram.
Penny (wa pili kutoka kushoto), wait a minute… huo mkono alioubusu ni wa nani?
Naye Penny aliandika: Money making moments… Cc @jerusalemfilmco God is good.”
No comments:
Post a Comment