Terrence
J mchana wa leo July 12 alikutana na mashabiki wake kwenye duka la A
Novel Idea lililopo Slipway Msasani ambapo alikua akigawa bure kitabu
cheke cha “The Wealth Of My Mother’s Wisdom”kama Clinic kwa watu 100 wa
kwanza.
Vitabu
hivyo viliwekwa saini ya yeye mwenyewen Terrence J,usiku wa July 12
wafatiliaji wa filamu zake usiku huu walikuwa nae kwenye redcarpet ya
mlimani City na baadae kwa pamoja nae wakashuhudia filamu yake ya ‘Think
Like A Man Too’ ni good time ya ukweli mtu wangu.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.
CREDIT MILLARD AYO
No comments:
Post a Comment