Moto huo wa Jiko hilo la gesi ulilipuka na kuiteketeza kabisa nyumba hiyo ikiwa na furniture zake,ingawa jeshi la polisi lilifika eneo la tukio na kuwasihi wananchi kusogea mbali toka eneo la moto kwani chanzo chake ni moto wa gesi.
Friday, March 7, 2014
JINSI JIKO LA GESI LILIVYOITEKETEZA NYUMBA JIJINI MWANZA
Moto huo wa Jiko hilo la gesi ulilipuka na kuiteketeza kabisa nyumba hiyo ikiwa na furniture zake,ingawa jeshi la polisi lilifika eneo la tukio na kuwasihi wananchi kusogea mbali toka eneo la moto kwani chanzo chake ni moto wa gesi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment