Pages

Wednesday, April 23, 2014

MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR JE BAADA YA KATIBA MPYA UTAENDELEA KUWEPO

http://api.ning.com/files/IsJHqcV8U5HbZe*-o0pGmdM2BZ3rz0m8miqwpP*ame9PGlrCzludFeAEP-xnfJtZNxDPz248y7Yc2zk1NOi2UpD3fDMVjVMj/tanzanian_flag_lg1.jpg
Wiki hii Aprili 26 ,Tanzania inaadhimisha miaka 50 ya Muungano tangu nchi ya Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuzaa nchi ya Tanzania.
Nchi hizi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar ziliungana April 26, mwaka 1964. Hii hapa historia ya Muungano huo
Historia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanzia April 26 mwaka 1964 siku ambayo Nchi ya Jamuhuri ya Tanganyika ambayo kwa sasa ni Tanzania bara pamoja na iliyokuwa Jamuhuri ya Zanzibar (inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja) ziliungana na kuwa nchi moja.

No comments:

Post a Comment