Pages

Saturday, April 12, 2014

DRAKE ABADILI SURA NA KUINGIA MTAANI KAJIFANYA MWANDISHI WA HABARI HAYA NDIO ALIYO WAULIZA


dfff 
Msanii Drake amebadilishwa sura kwa kubandikwa ndevu za bandia na kuvalishwa wigi ambapo vyote hivyo vimempa muonekano tofauti kabisa na alivyozoeleka.
Alichokifanya ni kuingia mitaani na kuwauliza watu maswali kuhusu yeye na baadhi yao wamemuongelea vibaya bila kujua wanaongea na Drake mwenyewe.
Screen Shot 2014-04-12 at 12.59.02 PM 
Hapa drake (ameshika mike) anamuuliza shabiki mmmoja  kuhusu yeye na shabiki hakutambua anaongea na yeye mwenyewe.

No comments:

Post a Comment